Katika maelezo yako hapo sijaona hata sehemu umesema ulimpeleka kanisani akaombewe zaidi ni kwa waganga ,mbona huwa mnakimbilia waganga wakati makanisa yapo watu wanaombewa wanapona....

Ni kweli nimemesema waganga kama moja ya vitu vilivtotugharimu sana. Maombi tumehudhuria lakini gharama za kifedha hazikuhusika sana. Ndio mahangaiko wakati wa shida.