Naombeni msaada wenu wa mawazo...kuhusiana na matokeo yangu

July Fourth

JF-Expert Member
May 2, 2012
2,240
794
Ni ya form 6 na yamekuja hv
history D
GEO D
econ E
Bam s
g.s S
je naweza chaguliwa? Facat zipi?
Mkopo ?
 
Ni ya form 6 na yamekuja hv
history D
GEO D
econ E
Bam s
g.s S
je naweza chaguliwa? Facat zipi?
Mkopo ?
unaweza kupata kozi nyingi maana kwa matokeo yako hayo ya ... DDE=2+2+1=5
MFANO B.A ECONOMICS ,BAGEN(GEOGRAPHY AND ENVIROMENTAL STUDIES)

JARIBU KUFUATA TCU GUIDE BOOK 2012/2013 kian kozi zote
ila kama utaka mkopo angalia priority kozi ambazo loan board wameziorodhesha na pia kwenye hicho ktabu kuna reccomendations ya hizo kozi kuna chuo kama ARDHI kuna kozi kama BSC. REAL ESTASTE , LAND VALUATION,... WANACHUKUAGA HGE KWA HIYO ANGALIA NA WANACONSIDER KWENYE MKOPO
 
thanks nitmie iyo link kaka
 
eti unaposema wanarenconsider kwenye mkopo una maana gani?

naamaisha hivi kwenye hicho kitabu ukisoma utaona haya maneno
kuna kozi ambazo kwa mujibu wa seriakli ndio prioity so ndio zitakuwa zinapewa high consideration kwenye mkopo ukiangalia kwenye majedwali ya kozi kuna kipengele kimaandikwa LOAN PRIORITY kwa hiyo cheki tu hicho utaona kozi gani zina priority na zipi hazina
 
nashukuru sana
 
Vipi kuhusu PCB. Div 3 ya 16Phy-SChem-DBio-S

usiogope kamanda utapata tu chuo cha msingi ni ushauri wangu kwako soma kitabu hichi cha tcu guide book 2012/2013 https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-elimu-education-forum/260358-tcu-guide-book-2012-13-a.html utapata tu kozi na kwako wewe kwa mujibu wa vigezo vya tcu hapo chini unaweza kupata maana wewe una point 3 ya d=2 s=0.5 kwa hiyo kwa DSS=2+0.5+0.5=3


USIKATE TAMAA SOMA KITABU CHA MUONGOZO UTAONA KOZI UTAOMBA UTASOMA
 
wazoefu msaada jamani
phy-E
geo-D
math-D
NB:- sikupiga chemistry O-level
coz gani naeza pata na mkopo pia???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…