Naombeni msaada wenu jamanii

Naombeni msaada wenu jamanii

MALISA92

Senior Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
148
Reaction score
57
Habarini za saa hii?Shida yangu ni hivi ndugu zangu;Nina laptop ya Hp compaq presario CQ 43 ina miaka miwili na nusu tangu ni inunue, na OS yake ni windows 8.1 sasa leo nilikuwa nawasha ili kutumia ila nikashangaa haiwaki kabisaa. Nikadhani ni betri imeisha chaji nikaweka power adapter nayo bado haiwaki hata taa moja..nikaitoa betry na chager then nika hold power bottun kwa 60 sec nikarudisha betri lakin badoNaombeni msaada wenu aisee!
 
Back
Top Bottom