Habari!! Naomba kuuliza, mimi nilifanya tendo la ndoa na mpenzi wangu baada wiki nikaingia period lakini ilikuwa ni tofauti na nyingine damu zilikua.
kidogo na kama nyeupe kwa mbali lakini ilienda siku tatu kawaida, halafu week iliyofuata nakaanza kuona dalili za mimba, nikajifanyia pregnant testing mwenyewe lakini kukawa amna kitu, saivi ni week ya tatu inaenda ya nne naendelea tu kuziona dalili mate yanajaa mdomoni kila sasa kuna muda chichu zinauma na tumbo linajaa sasa sielewi.