Pole sana mkuu mungu atakubariki utarundi salama.
lakn kaa ukijua huo ndio uanaume siyo uanaume wa dar wakupigwa na wanawake na kukimbia wototo wandogo kisa panya road
poti kenehe mhola?
nalemhola noyi.nakagaya makanza fulan nakatolwa ban potiMhola geta mwana-mayu kinehe ubebe ulimhola,???
Pole sana mkuu mungu atakubariki utarundi salama.
lakn kaa ukijua huo ndio uanaume siyo uanaume wa dar wakupigwa na wanawake na kukimbia wototo wandogo kisa panya road
Habari zenu jamani.Mimi ni mtanzania nilieamua kuja kufanya kazi huku oman kutokana na ugumu wa maisha.Ila sasa nimeamua nirud nyumban kutokana na maumivu makali ya mgongo yatikanayo na kazi nyingi nifanyazo.Hivo nikaomba kurudi nyumbani tanzania,wamenikubalia lkn wanataka nilipe gharama zao ambazo ni milion moja pia nijilipie nauli.Kwa kweli watanzania wenzangu mimi sina uwezo huo ningekua nao nisingekua huku leo.Naomba tu wana jamii wenzangu mwenyekuguswa na hili anisaidie niweze kurudi nyumban sina cha kuwalipa zaid ya asante tu naamin na Mungu atawabariki sana.Naomben msaada wenu.natanguliza shukran zangu za dhati kwenu na Mungu awabariki.asanteni.
wanaume wa dar eti wana matatizo ya panya road mpaka wamekimbia wake zao
Habari zenu jamani. Mimi ni mtanzania nilieamua kuja kufanya kazi huku Oman kutokana na ugumu wa maisha. Ila sasa nimeamua nirudi nyumbani kutokana na maumivu makali ya mgongo yatokanayo na kazi nyingi nifanyazo.
Hivyo nikaomba kurudi nyumbani Tanzania, wamenikubalia lakini wanataka nilipe gharama zao ambazo ni milion moja pia nijilipie nauli.
Kwa kweli watanzania wenzangu mimi sina uwezo huo, ningekua nao nisingekua huku leo. Naomba tu wana jamii wenzangu mwenye kuguswa na hili anisaidie niweze kurudi nyumbani, sina cha kuwalipa zaidi ya asante tu, naamin na Mungu atawabariki sana.
Naombeni msaada wenu. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu na Mungu awabariki. Asanteni.