Mpokile
Member
- Feb 12, 2017
- 10
- 6
Simu yangu toka nimeanza jana kuweka apk kwa simu yangu,inaniandikia unfortunately android phone mara kama umezima data umewasha data zinajizima na baada ya hapo simu inaganda naona inajiwasha sasa wadau kwa wale wenye CV zao za IT Naombeni msaada wenu niondokane na hili tatizo