Hivi ni miaka mingapi hasa inafaa kuwa katika mahusiano alafu ndoa inafuata ili kuondoa huu utata wa kuwa mtu anatumiwa? Hii itasaidia vijana wengi kujitambua kuwa sasa anatumiwa. Ok, kuna watu wamekuwa wachumba kwa miaka 10 afu wameoana weingine miaka sita. Wengine mpaka leo ni wachumba na wamezaa mfano ni Brad Pitt na Angelina Jolie bado ni wachumba so wanapotezeana muda?