Naombeni msaada wa kuchagua combinatiom

Naombeni msaada wa kuchagua combinatiom

HGE, simple kiasi na itakupa uwanja mpana wa kuchagua program nzuri kwenda chuo.
 
Dogo achana na form six nenda chuo utakuwa na advantage nyingi hata ukimaliza diploma yako unaweza kuajiriwa tofauti na wenzako wataomaliza six kile cheti ni sifa tu hakina ajira, itakua umefanya mazoezi ya kazi kwa vitendo na kupokea vijipesa ukiwa chuoni wenzako wa form six hawajawahi, maisha ya chuo utakuwa imeyazoea wenzako wakifika hapo watakua na ushamba ushamba, huko chuoni unasomea taaluma unayotaka sio kusoma combination ambazo kuna masomo utayaacha ukianza chuo,

Nenda chuo wewe
 
Soma CBG ukifauli vzr unaweza kusoma kozi km zote SUA. Kuanzia Agronomy, horticulture,General Agr.Animal science,Food Science,Nutrition,etc.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MSAADA KWENYE COMBINATION FORM FIVE
M
18
II
CIV - 'B' HIST - 'B' GEO - 'C' E/D/KIISLAMU - 'D' KISW - 'B' ENGL - 'C' PHY - 'F' CHEM - 'C' BIO - 'C' B/MATH - 'C'
Kwanza usije ukajiloga ukasoma CBG, ungekua umefaulu phy ningekushauri PCM au PCB!!

kwa ufaulu wako na kwa kuangalia trends ya hii nchi viwanda (japo ni vya majukwaani) nakushauri ukasome EGM!! hutojuta.

Na kama utaenda EGM anza na hizi topics... trigonometry, differentiation, integration!!

So why EGM?

Ina wigo mpana ukifija chuo... Kama ukifaulu kuna baadhi ya kozi ambazo mtu wa HGE hawezi gusa mfano actuorial science, architecture na baadhi ya kozi za engineering!! Then kuna uhasibu na uchumi kama ukipenda!!

Kazi kwako!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma CBG ukifauli vzr unaweza kusoma kozi km zote SUA. Kuanzia Agronomy, horticulture,General Agr.Animal science,Food Science,Nutrition,etc.

Sent using Jamii Forums mobile app
CBG kwa hii nchi na kwa kipindi hiki ni upotevu wa muda.

Alafu unaposema kozi za SUA una maanisha nini? Je ataweza kusoma kozi za engineering hapo SUA na CBG yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom