yorkshire
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 2,533
- 3,175
Habari zenu mandugu!!!...
Bila kuwachosha naomba niende moja kwa moja kwenye lengo husika la kuanzisha uzi huu .Siku 7 zilizopita mdogo wangu alitumiwa hela na mama yetu mdogo ambaye yupo dar ,alimtumia kiasi fulani cha pesa kwa ajili ya mambo ya shule sasa bahati mbaya sana laini ya simu aliyotumia haikuwa imesajiliwa kwa jina lake pia haikumbuki vema namba zake na isitoshe laini hiyo alijisahau akaitafuna mdomoni akidhani anatafuna kitu ni siku mbili baada ya kutumiwa.
Sasa shida imekuja kuwa ile laini haisomi pia namba yake aliyotumiwa hela dogo haikumbuki vema na isitoshe mama mdogo nae haikumbuki tena maana hakuisave .Tumejaribu kuwapigia huduma kwa wateja Tigo pesa ili watusaidie kwa hili wanadai mpk namba hiyo iwepo ndo tusaidike sasa nikasema ngoja nilete kwenu huenda tukapata suluhisho maana humu kuna wajuzi wa kila namna