Wapendwa habari ya Mchana, samahani kwa kuchanganya maada,
Naomba anayefahamu yanapopatokana mavi ya Tembo anitaarifu, nimeambiwa ni dawa ya degedege, unfortunately mtoto wangu anaonekana kuwa na homa ya degedege.
Msaada tafadhali.
Asanteni... no yangu ni 0784379034