Mr. madevu
JF-Expert Member
- Mar 2, 2013
- 432
- 75
Wadau hili jambo linaniuma sana. Jana nilinunua Galaxy S2 at&t used kutoka kwa rafiki yangu alitoka nayo nairobi.
Nikaona nifanye factory reset kabla ya kuitumia. Ila njia ya kawaida iligoma, nikasema ngoja nijaribu hard reset.
Ila baada ya kumaliza tu nikata kurestart ikaniandikia
"no OS installed, your phone is not rooted, Install SuperUs to reboot"
Ila nilishindwa kuistall Superus maana haipo, nikaamua kuireboot, ila ikiwaka inaonyesha logo ya samsung then haindelei tena.
Je nifanyaje wataalamu?