naombeni msaada wa game ya draft ya ku undredress

Nyamuleha jr

Senior Member
Feb 20, 2013
185
65
nimejaribu kutafuta hii game nimeikossa mwenye link naomba au kama utaweza kulipakia hapa mimi ntalipakuaaaaaaaaa
 
Avast anapendaga sana kujifanya anajua,
na ukimchekea kiZEMBE anakula setup,
some times me nikitaka ku install adobe ps, lazima ni pause shield yake, bila hvyo ntakesha.
 
Kuna avast ni avg hivi vianti virus vinajifanya kifront front sana ndo maana huwa sivipendelei.
 
Naomba anayeweza kunipatia draft kwa toleo la Nokia E72 anisaidie. Ninapenda sana kucheza draft, sijafanikiwa kupata la simu. Kila la heri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…