Naombeni msaada PC yangu aina ya HP inanisumbua upande wa wifi

Pool Table

JF-Expert Member
Jan 30, 2020
1,678
2,882
Kwanza poleni kwa majukumu ya kusaka chochote kitu ili maradi mkono uende kinywani.

Nina tatizo pc yang aina ya Hp inanisumbua sana upande wa wi-fi kila napo jaribu kufungua wi-fi inagoma kama inavoonekana kwenye ka clip hapo chini.

Naombeni msaada nifanye nini labda inaweza kubali.

Natanguliza shukran.

Your browser is not able to display this video.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…