Habari wanajf. Naitwa Mariam ni mwanafunzi wa diploma ya ualimu wa msingi ktk Chuo kimoja hapa Dar,Niko mwaka wa 1 ndio tumeanza juzi tu..Maisha Yangu yamekua ya changamoto nyingi na mapito magumu sana lakini Mungu ni mwema mwaka huu nikapata mfadhili wa kunisomesha ualimu akawa amenilipia ada kwa semester ya kwanza tu,bahati mbaya sana huyu msamaria Mungu amempenda zaidi ametangulia mbele za haki kiukweli nimechanganyikiwa mnoo Nina uchungu mwingi sana moyoni kwani sijui hatma ya masomo Yangu. Hivyo ndugu zangu naombeni msaada wenu kupata mfadhili wa kunisaidia ada katika semester mbili zilizobaki au mchango wowote,sitohitaji pesa ya mtu mkononi Bali iingizwe moja kwa moja kwenye acc. Ya Chuo,au hata kupata kibarua cha aina yoyote kile cha kufanya baada ya muda wa masomo saa 7mchana ili kinisaidie kujilipia ada pasipo kumtegemea mtu. Naombeni mnisaidie ndugu zangu kiukweli nimekata Tamaa kabisa ya maisha kwani hii elimu ndio ilikua kilakitu kwangu,Atakayeguswa no. Zangu ni 0677 123322. Ahsanteni sana