indian mark 2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 397
- 301
wakuu natumaini ni wazima waafya nammeaka salama lakini naombeni msaada wetu kwa mtu yoyote yule ambaye ananamba za SAM MAELA WA ITV anisaidie namba zake au mwandishi yoyote yule wa habari wakutokea ITV tafadhalini sana ndugu zangu nashida nao sana kwa yoyote mwenye namba zao anitumie isifike mchana wa leo...asenteni