Naombeni msaada ndugu zangu watanzania

Naombeni msaada ndugu zangu watanzania

Seaman86

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
370
Reaction score
408
Elimu yangu n form IV nilimaliza mwaka 2004 na kuscore div four ya 27.
Ninaomba msaada wa kujua njia za kupata chuo cha IT ndani ya mkoa wa dar es salaam kwani ninaujuzi wa computer na ninahitaji kusoma mpaka kupata diploma au degree ya IT

Naombeni ushauri wenu
Ni chuo gani kizuri kinachotoa elimu ya IT na chenye nafasi.

Asanteni sana
 
Pesa yako tu. Nenda Dar Es Salam Institute of Technology.
 
Kwani inahitaji credit zipi

Halafu mimi sio dogo kiongozi 35 years ni dogo kweli??? Nipe tu ushauri sio kejeli nitakusikiliza
 
Unapaswa kuwa umefaur science subjects like physics, chemistry, biology, mathematics and English kwa angalau kiwango cha d lakin sio chuo cha dit pare kuna competition kubwa uwez pata
 
yaani IT mpaka uwe umefauru science sheria ya wapi hii? si bora aende vyuo vya afya
 
Science sio kweli japo sijajua lakini naona sio kweli mimi nahitaji kusoma IT ya unaniambia science haaa hapana ndugu kama hujajua labda ungekaa kimya kdg sorry
 
Tatizo lako hujui na hutaki kukubali kuwa hujui...hiyo IT ni science then ushauri wa bure kwako ukiweza jitahidi sana uweze kureseat hasa kama hesabu ulifail but km kidogo ulipata D,chapa mwendoo
 
Maths nina D
 
Ila kama unajijua huwezi kushauri ni bora utulize tu kijambio chako usidhani tunavyoomba ushauri ni wajinga ila tunaomba maana huenda wapo ambao wanasoma waliopo humu sasa wewe naona unakuwa kama unawashwa hv si ukae utulie tu manyoko
 
Back
Top Bottom