man jile
Member
- Aug 1, 2016
- 71
- 4
jamani mimi nimechaguliwa chuo cha ualimu wa masomo ya sayansi kreluu tc
lakini nmebahatika kupata saponsor ship kutoka serikalini
na nimeandikiwa kwenye profile langu nacte .
lakini nimejaribu kuwasiliana na mkuu wa chuo cha kreluu
majibu aliyonipa kasema kwamba
saponsor ship haitumwi chuoni wananitumia mm je, saponsor ship hiyooo nitaipataje???? ili niweze kwenda kusomaaa ??
anayejua hilo naomba mnisaidie ndugu zangu ili nichukue saponsor ship hyo nikasomeView attachment 448125