Naombeni mnifahahamishe kwa yeyote anaefahamu kwamba katika ajira za ualimu kwa wale wote ambao wamesoma single course kama bachelor of science or arts in (physics,chemistry,biology, geography) je wanaweza kutuma maombi yao pia? na kama wanatuma je consideration ipo?