Mimi si mtaalamu lakini najaribu kutumia simple logic, mtu akifa ndani ya maji si kwamba dakika atakayo kufa tu ndio anapanda juu, isipokuwa itaulazimu mwili huo kukaa masaa kadhaa zaid ya 12 ndio utapanda juu.
Kwa mantiki hiyo ni kwamba ukifa mwili unaanza kuoza kwa seli kuanza kuharibika na kutengeneza kitu kama gasi kwa tumbo kujaa na mwili mzima, hii inafanya mwili kuwa na hewa ya gasi kwandani na kuufanya uwe kama boya, hivyo kuufanya uelee.
Subiri wataalamu waje kudadafua.