Wakuu poleni na kazi,
Mimi ni mwajiliwa katika halmshauri ya moja hapa mkoani Kilimanjaro naomba kujua sheria ya mwajiri kumsomesha mfanyakazi ikoje maana halmashauri hii wanasema ukitaka kwenda kusoma maana yake ujigharamie kila kitu ila ukiomba mkopo bodi ya mikopo wanasema mwajiri wako ndio akulipie hizo gharama.
Wakuu hili likoje naombeni msaada natanguliza samahani kwa uandishi usiyo katika mpangilio mzuri ila limenitatiza sana