OPTIMISTIC
Senior Member
- Mar 12, 2011
- 125
- 20
Salaam, nimepata Macbook sijawahi kuitumia kabisa, nimeshindwa kupata programs za kufanyia kazi kama word, excel etc, ninaomba msaada wa darasa kwa wataalamu na wazoefu. Na kama kuna software ambayo itahitajika niinstall tafadhali naomba mwenye link ya kudownload