Naombeni msaada jf members

Naombeni msaada jf members

Mr Lg

New Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
1
Reaction score
0
Husika na kichwa cha habari hapo juu jamani ndugu zangu nina kama mwez na nusu koo pamoja na ulimi wangu vimekuwa vikinisumbua sana na vidonda sasa stage iliofikia napata hofu sana naomba anaejua dawa jamani msaada niokoe maisha yangu
 
wahi hospitali mkuu ...

ufanyiwe kipimo upate majibu sahihi na dawa.
 
Husika na kichwa cha habari hapo juu jamani ndugu zangu nina kama mwez na nusu koo pamoja na ulimi wangu vimekuwa vikinisumbua sana na vidonda sasa stage iliofikia napata hofu sana naomba anaejua dawa jamani msaada niokoe maisha yangu
Kama ulikuwa unaingia chumvini acha sio mchezo mzuri kuingia chumvini. Dawa ya kukutibu ipo na ukitumia unaweza kupona maradhi yako.
 
Back
Top Bottom