KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 278
jamani asanteeeeeeeee sanaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!! Kitu kimekubali jamani tukutane baa gani???????
Jf shall never die
Mkuu inategemea na aina ya simu unayotumia kama ni hizi za wajomba wetu wa China inakuwa kazi sana kama ni Android platforms kuna antivirus na kama ni iphone basi ulinzi imara coz os yake iko very strong kwa virus.Eti Sharobalo ili kuepuka kuitia simu virus n njia zipi ili kuepuka? Mi huwa kila nacho download naweka kwenye memor card, je ni m1 wapo ya njia salama.
Eti Sharobalo ili kuepuka kuitia simu virus n njia zipi ili kuepuka? Mi huwa kila nacho download naweka kwenye memor card, je ni m1 wapo ya njia salama.