Hapo ni ngumu ndugu koz hizo zinahitaji mathematics ya kutosha , tofautisha na IT ya mtaani me nimesoma Computer engineering diploma tulikua tunafanya koz sawa za hesabu , sijui kwa nyiny form six inakuaje lakini ujue koz hizo zinaushindani mkubwa usizichukulie poa kuna watu wana gpa ya 3.5 diploma wamekosa , sidhani kamani rahisi kumchukua mtu wa cbg over wa diploma mwenye upper second