wakutomboka
Member
- Mar 11, 2012
- 25
- 4
Niaje wakubwa, nina nokia n900, kuna jamaa kaingiza password alaf kazisahau, nimejarib kumpelekea fund ili kuformat nimeambiwa kwamba sehemu ya cable imekufa, Je kuna master code zozote ambazo nnaweza kuziingiza? Or any other soln?