Mbona unachochea mtumishi wa bwana mwenzio akamatwe?au mna vita ya waumini?Kula nae sahani moja usimuache
Mkuu kuna baadhi ya watu wamejaaliwa nguvu ya ushawishiUna kithibitisho gani kwamba wapangaji wako wametoa hizo pesa 3M? Wapangaji gani wanampa mtu yeyote kodi , kwamba wenyewe Ni mazwazwa kiasi hicho?Hawajiulizi kitu wanatoa tu?
Mwaka 2019 January nilimpangisha mtu kwenye nyumba yangu, akaniahidi kunilipa kodi baada ya wiki, nikamkubalia, lakini wiki ilipokwisha hakulipa akaomba alipe mwisho wa mwezi, nikasema sawa.
Kilichoniumiza, mwisho wa mwezi akaenda kwa wapangaji wenzake akawadanganya kuwa nimemtuma akusanye kodi kwa wote aniletee, alipopewa Tshs 3,000,000 akatoroka nazo! Nilipokwenda kufuatilia kodi nikaambiwa alisema nimemtuma akusanye kodi aniletee kumbe mwongo, wapangaji wenzake wakanambia ana wiki hajaonekana na simu yake haipo hewani.
Leo nipo Mikumi, nimeona jina lake kwenye kitabu cha wageni kwenye lodge niliyofikia, ila kwenye hilo jina ameanza na Mchg.
Je, naweza kuwashirikisha wale jamaa wenye kofia bapa? Nawezaje kulifanya hilo bila kujiathiri mwenyewe, maana rb nilisha missplace sikumbuki ilipo.
R.B ndo ingekuwa poa sana ungekuwa nayo ....chakufanya jaribu kuzungumza na hao jamaa wenye kofia uone nao watakushauri nni ....maana pia kumkamata mtu bila ushahidi inakuwa ngumuMwaka 2019 January nilimpangisha mtu kwenye nyumba yangu, akaniahidi kunilipa kodi baada ya wiki, nikamkubalia, lakini wiki ilipokwisha hakulipa akaomba alipe mwisho wa mwezi, nikasema sawa.
Kilichoniumiza, mwisho wa mwezi akaenda kwa wapangaji wenzake akawadanganya kuwa nimemtuma akusanye kodi kwa wote aniletee, alipopewa Tshs 3,000,000 akatoroka nazo! Nilipokwenda kufuatilia kodi nikaambiwa alisema nimemtuma akusanye kodi aniletee kumbe mwongo, wapangaji wenzake wakanambia ana wiki hajaonekana na simu yake haipo hewani.
Leo nipo Mikumi, nimeona jina lake kwenye kitabu cha wageni kwenye lodge niliyofikia, ila kwenye hilo jina ameanza na Mchg.
Je, naweza kuwashirikisha wale jamaa wenye kofia bapa? Nawezaje kulifanya hilo bila kujiathiri mwenyewe, maana rb nilisha missplace sikumbuki ilipo.
Na wote wakatoa pasipo kujiridhisha kiushahidi wa maelezoUna kithibitisho gani kwamba wapangaji wako wametoa hizo pesa 3M? Wapangaji gani wanampa mtu yeyote kodi , kwamba wenyewe Ni mazwazwa kiasi hicho?Hawajiulizi kitu wanatoa tu?