Naombeni mnishauri biashara ya kufanya ili nitoboe

ALFHA MWITA

Member
Joined
Jun 28, 2025
Posts
83
Reaction score
105
Ndugu zangu watanzania wenzangu,kaka zangu,dada zangu,baba zangu na mama zangu.
Naombeni mnishauri aina ya biashara nayoweza kufanya na nikapata mafanikio ndani ya mda mfupi mfano ndani ya miaka mitano niwe angalau nimenunua kiwanja changu na nimejenga nyumba nzuri

Au unaweza ukanipa muongozo kwamba dogo tafuta kiasi fulani cha pesa ufanye hivi na hivi.

Au unaweza ukawa una biashara unayofanya na unahitaji kupanua matawi unaweza ukanichukua nikusaidie halafu uwe unanilipa. naweza kufanya angalau kwa muda fulani angalau nipate pa kuanzia.

Napo sema naomba msaada ukweli naomba msaada iwe ushauri iwe ni kuniajiri yote sawa

Naombeni wale mnaotukana msinitukane
 
Jifunze ku bet.
 
Uko tayar kuja zanzibar kufanya kaz ya ulinzi?
 
Up mkoa gani
 
Tafuta 50,000,000 uje tuungane kupeleka bidhaa fulani mkoani wateja ni uhakika unawapigia simu tunapeleka units 1,000 kuna wengine wanataka 300, 200,100, 500 pesa bank faster!
uwezo wa kupata milioni 50 sina kabisa labda mniajiri mimi binafsi sina biashara yoyote mimi labda uniambie tafuta laki moja uje tufanye biashara fulani naweza itafuta ndani ya mwezi mmoja ila kama uwezekano wa kuniwezesha upo nitakushukuru
 
kaka angu kubeti siwezi naeza nikabeti 5000 ikaliwa ikaniuma sana au unaweka 10000 inaongezeka hata inafika 50000 wanakupiga yote
Michezo ya kubet ipo mingi sio lazima u bet matokeo ya mpira au aviator.

Kuna michezo mingi tu ya casino ,ingia betpawa, wasafibet, sportbet nk ukajionee michezo mingi mno.
 
Back
Top Bottom