Wewe unajua muziki. Vipi uliupata? Kama hujaupata nipe namba yako ya Whatsapp au Telegram au email yako nikutumie.Bantu group (Hamza kalala)_Ngozi ya kitimoto
Asante
na mimi nautafuta sana aisee sijui kwa nini haupatikani mtandaoni.Bantu group (Hamza kalala)_Ngozi ya kitimoto
Asante
bado unao aisee huo wimbo,nautafuta sana.Wewe unajua muziki. Vipi uliupata? Kama hujaupata nipe namba yako ya Whatsapp au Telegram au email yako nikutumie.
bado unao aisee huo wimbo,nautafuta sana.
nakushukuru sana mkuu, kuushusha ndo isuue.
Omba dogo yoyote anayejua computer vizuri akusaidie. Kama unatumia computer ni rahisi sana kuna kisehemu pale juu chenye alama ya kudownload.nakushukuru sana mkuu, kuushusha ndo isuue.
Omba dogo yoyote anayejua computer vizuri akusaidie. Kama unatumia computer ni rahisi sana kuna kisehemu pale juu chenye alama ya kudownload.
Shukrani sana kaka,nimeushusha...nilikuwa nausikilizia kwenye simu ila kwenye PC unashuka kirahisi.Omba dogo yoyote anayejua computer vizuri akusaidie. Kama unatumia computer ni rahisi sana kuna kisehemu pale juu chenye alama ya kudownload.
Duuh!! Kumbe Baba Jenny zipo tatu!! Halafu mule nasikia Kuna vijana wadogo waliimba ambao ni Ali Choki na Mwinjuma Muumini tunaowafahamu hivi sasa., Kuna jamaa mkongwe ameniambia hivyoMwenye ule mtiririko wa nyimbo za Hamza Kalala ..Baba Jeni moja hadi tatu nadhani..aweke hapa atakuwa amefanya jambo la maana sana.
Ni kweli...ukizisikiliza ni kama unatazama movie...Duuh!! Kumbe Baba Jenny zipo tatu!! Halafu mule nasikia Kuna vijana wadogo waliimba ambao ni Ali Choki na Mwinjuma Muumini tunaowafahamu hivi sasa., Kuna jamaa mkongwe ameniambia hivyo