Naombeni mnisaidie kuhusu Nacte

Naombeni mnisaidie kuhusu Nacte

tiggacute

Senior Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
118
Reaction score
75
Habar zenu wakuu..mdogo wangu ameaply coz ya procurement na tayar alikuwa na certificate ya hyo procurement. Majibu kutoka nacte akaambiwa aombe kozi zingine. Sasa analia tu kuanzia jana anahisi ametemwa kiaina.. mala ya kwanza alichagua kozi moja tu..lkn sa hv amechagua tatu. Naombeni msaada kwali waliotemwa kiaina kwenye profile zao waliandikiwa nini? msaada pls
 
Aache woga aombe tuu! Aombe kozi hiyo ila abadilishe vyuo alivyoomba mwanzo!
 
Aombe tena, mm wadogo zangu niliwaombea mara ya Kwanza wakakosa, wamekuja kupata kwenye Second round. Kwa hiyo aombe tena hasa vya private ,
 
Wakuu hv ucc mbezi kimehamishwa maana nilienda ijumaa sikukuta hata nzi akikatiza
 
ametemwa kwa sabbu kaomba course moja tu....unatkiwa uombe tatu ili uchaguliwe moja......acheni upumbavvvuu utaombaje course moja
 
ametemwa kwa sabbu kaomba course moja tu....unatkiwa uombe tatu ili uchaguliwe moja......acheni upumbavvvuu utaombaje course moja


Sa hv ndio kaomba kozi tatu..baada ya kutemwa mwanzoni
 
Back
Top Bottom