Mafikizolo
JF-Expert Member
- May 8, 2014
- 3,487
- 1,626
Habari za mujengoni wana JF!!
Mimi ni msichana nina miaka 20, sasa leo nimekuwa na mawazo,mpaka sasa sijajua nifanye maamuzi gani kwani wazazi wangu wanataka nirudi shule nikarudie form three ili nisafishe cheti changu kiwe pouwa kwani matokeo yangu hayakuwa mazuri.
Mimi nilivyo maliza form four nilisoma short course flani ivi ambayo baadae nilikuaja kupata kazi kwenye shirika flani sema sija ajiriwa direct,nafanya kazi nina mwaka watatu sasa nipo nafanya kazi. Kiukweli mimi nilikua napenda sana kusoma na ninatamani kusoma lakaini sikurudi form three sasa sielewi ni fanye maamuzi yapi kati ya kurudia form three au nitafute chuo kama nitapata nisome kitu ambacho ninaweza hata kujiajiri mwenyewe,nimefikiria nimewaza ila sijapata jibu sahihi nikaona si vibaya kushare na nyie mkanipa mawazo yenu juu ya hili
NB:Nisingependelea matusi kama uwezi kunipa mawazo pita ivi------------------->