Naombeni mawasiliano ya timu ya kampeni UKAWA

Naombeni mawasiliano ya timu ya kampeni UKAWA

msimami

Member
Joined
May 16, 2014
Posts
92
Reaction score
29
Wakuu ni iman yangu tupo salama katika pilikapilika zetu,kama title ilivyo mimi ni muathirika wa mfumo mbovu wa ccm kias cha kuikosa hata elimu ya chuo kikuu,kwa kunyimwa mkopo bila sababu za msingi,nahtaji kuwasiliana na hawa watu niwakabidhi hata nyaraka(vyeti) kulithibitisha hili naamin tupo weng walioathirika na kujitokeza inaweza kusaidia kudhihirisha manyanyaso ya ccm kwetu masikini,
nawaslisha,maccm mpite mbali make matusi yenu itakuwa ni kuendelea kujibomoa
 
Ndio ilivyo, CCM ni ileile wenyewe waimba.Halafu nao wataka mabadiliko, sijaelewa wataka mabadiliko yepi wakati ni
walewale......
 
Back
Top Bottom