B baba anjela JF-Expert Member Joined Mar 17, 2013 Posts 431 Reaction score 310 Jun 11, 2014 #1 Napata shida kutofautisha kati ya ndoto na maisha ya kawaida, ninapokuwa ndotoni najiona kama nipo katika ulimwengu niliopo mpaka mara nyengine nahisi hata haya maisha tulionayo kila siku uwenda tupo ndotoni.
Napata shida kutofautisha kati ya ndoto na maisha ya kawaida, ninapokuwa ndotoni najiona kama nipo katika ulimwengu niliopo mpaka mara nyengine nahisi hata haya maisha tulionayo kila siku uwenda tupo ndotoni.
pe.livinuu JF-Expert Member Joined Nov 29, 2013 Posts 502 Reaction score 114 Jun 11, 2014 #2 Err hapo ulipo bado unaota. Amka basi
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Jun 11, 2014 #3 Inawezekana