Jamani wataalam nipeni majibu ya utata huu hivi ni kweli kwamba mbu hawezi kueneza virusi vya ukimwi kupitia damu anayo nyonya kwa mwathirika?na kama ndiyo ni kwa sababu zipi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.