Naombeni Mabango ya kunifariji

Sijaijua jinsia yako ila kama mwanaume basi hii itakufariji,ukata uliokuwa nao ndo unaokusababishia matatizo ya kutendwa siku ukiwa nazo wenyewe watakuja bila kujali umri wako wala sura yako....
 
utaki tena mapenzi lakini unataka mabango yenye kukufariji juu ya mapenzi.....aisee mapenzi yakishamvuruga mtu hayamuachi salama yani hadi inafika hatua anasema jambo asilolielewa hata yeye mwenyewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…