Naombeni kuuliza jamani.

svoca

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2014
Posts
373
Reaction score
70
Habarini wadau,ninaomba kupewa uelekeo kwa wenye uzoefu huu,kama ninakwenda mkoani geita kutokea mikoa ya kaskazn hususani Arusha kwa mabasi ni njia gani wanatumia,na naul ni sh.ngapi?Tafadhali
 
unapitia babati, singida, tabora shinyanga then mwanza nauli ni approx. 35+
 
Ni 27 mpaka. MwanzA ndugu,geita MwanzA kwenye 12 hiv
 
Kwanini upite Mwanza wakati kuna mghamba inaenda moja kwa moja kwa kupitia kahama? saa 1 au 2 usiku uko geita,ila km unataka kupita mwanza siyo mbaya
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…