Habari zenu wataalamu wa elimu!
Kuna jambo linanitatiza sana! nilipomaliza mtihani wa form four 2009 kati ya mitihani yangu saba matokeo yaliyotetwa ni ya mitihani sita tuu! somo moja la civics wakanijazia "I" nilipofata cheti shuleni wakanijuza kuwa hakipo na kuwa matokeo yangu yanakasoro hazikutumwa hizo( CA).Wakaniandikia wakafunga kwenye bahasha wakaniambia nipeleke balaza la mitihani! nikafanya hivyo! nikaambiwa nikae wiki mbili niangalie kwenye mtandao nikakuta matokeo hamna! nikakata tamaa kabisa nikafata biashara zingine!
Nachotaka kujua
1 Je naweza kupata cheti changu wakati huu
2 Anayewajibika na utumaji wa ( CA) huwa ni nani?
3 Baraza huwa wanachukua hatua gani kwa wasiopeleka hizo (CA)