Naombeni kitabu cha rich daddy poor daddy

Naombeni kitabu cha rich daddy poor daddy

Teamo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2009
Posts
12,271
Reaction score
1,069
Nimesimuliwa tu kikanivutia sana!naomba softcopy yake kwa yoyote aliyenacho
 
Nimesimuliwa tu kikanivutia sana!naomba softcopy yake kwa yoyote aliyenacho

Pole sana lakini nenda kwenye maduka makubwa ya vitabu, sina uhakika pale Game na lile duka la Steers kama bado yapo, maana nimejichimbia Makete muda mrefu kwa hiyo sijui habari za huko Dar. Lakini Mimi huwa napata vitabu vyangu kutoka hapa mkuu [ame]http://www.amazon.co.uk/Rich-Dad-Poor-Teach-Middle/dp/0446677450/ref=sr_1_3?ie=UTF8&s=books&qid=1252710425&sr=1-3[/ame]
Just a click baada ya wiki 2 hivi kipo Makete
 
Back
Top Bottom