MAANAX Member Joined Dec 9, 2012 Posts 36 Reaction score 2 Sep 7, 2013 #1 Mimi ni kijana nimemaliza kidato cha nne 2012 kwa sasa nipo dar es salaam na nina uwezo mkubwa katika kazi zote za mikono hasa za kubeba mizigo naombeni kama yupo anayeweza kunipatia ajira itakayolipa anitafute 0757191544 asante.
Mimi ni kijana nimemaliza kidato cha nne 2012 kwa sasa nipo dar es salaam na nina uwezo mkubwa katika kazi zote za mikono hasa za kubeba mizigo naombeni kama yupo anayeweza kunipatia ajira itakayolipa anitafute 0757191544 asante.