EveningStar
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 262
- 162
Habari wakuu,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, jinsi ni (Me), nina shahada ya kwanza ya sayansi ya chakula na teknolojia kutoka SUA. Natafuta kazi yoyote ya halali, nipo tayari kuifanya angalau nipate hela ya kula ndugu zanguni. Kwa anayeweza kunisaidia kupata vibarua viwandani naomba nisaidie, maana nina hali mbaya sana hata hela ya kula ni tatizo kwangu, nimeangahaika kupeleka nyaraka zangu za kuomba kazi sehemu mbalimbali kwa muda mrefu sasa, lakini mpaka sasa sijafanikiwa kupata kazi zaidi ya kupewa ahadi tu, kumbuka mimi sichagui kazi wala maslahi. Kwahiyo naombeni mnisaidie, mimi nipo DAR, 0758 106 501
Ahsanteni!