Naombeni Kazi wana Jf

Naombeni Kazi wana Jf

hamis77

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
18,254
Reaction score
26,642
Habarini wana Jf, niende kwenye dhumuni husika, naombeni kazi au kibarua katika sekta ya Magari. , Elimu yangu ni Degree ya mechanical engineering ,

Nimezuiwa cheti kutokana na kushindwa kulipa ada , hivo naombeni wadau wa Magari na kada nyingine zinazowiana na Mechanical engineering , napatikana Dar es Salaam

Nina uzoefu katika ufundi magari wa mwaka mmoja , pia Nina uzoefu katika ufumaji(motor winding)wa mota na kufanya repair .

Naomben msaada wenu wa Jf nijikwamue niweze kulipa pia ada ninayodaiwa .
 
Tatizo unachagua kazi, wewe sema unaomba kazi yoyote maana zingine hazihitaji ujuzi

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sijachagua ila nahitaji yoyote mkuu iliyo halali
 
Habarini wana Jf, niende kwenye dhumuni husika, naombeni kazi au kibarua katika sekta ya Magari. , Elimu yangu ni Degree ya mechanical engineering ,

Nimezuiwa cheti kutokana na kushindwa kulipa ada , hivo naombeni wadau wa Magari na kada nyingine zinazowiana na Mechanical engineering , napatikana Dar es Salaam

Nina uzoefu katika ufundi magari wa mwaka mmoja , pia Nina uzoefu katika ufumaji(motor winding)wa mota na kufanya repair .

Naomben msaada wenu wa Jf nijikwamue niweze kulipa pia ada ninayodaiwa .
Chet cha diploma hauna nacho? Maana hizo kazi bila Chet ni changamoto kidogo.
 
Tunahitaji mwalimu wakufundisha kozi ya ufundi magari(MVM) na umeme wa magari(Auto electrical) kwa vijan wa kozi za VETA level 1-3.
Kama una interest na unaweza tuwasiliane -0717157640
Na pia unaweza tutuma CV YAKO kidtcollege@gmail.com
 
Chuo cha ufundi stadi-KIDT-VTC MOSHI, tunahitaji Mwalimu wa Refregerations & Airconditions.

Awe na uwezo wa kufundisha Level 1-3 hususani kwenye Vitendo na nadhari:

Aliye tayari na interest ya kufanya kazi aWasiliana na mkuu wa chuo 0754469894

Nafasi inahitaji mtu na Unaweza tuma maombi,cv nav yeti vyako kwa whatsap no 0717157640
 
Back
Top Bottom