jay311
JF-Expert Member
- Oct 21, 2012
- 2,931
- 2,726
Wakuu jana nilijikuta( kibahati mbaya) nimefuta permanent file langu moja lenye mambo ya muhimu .yaani nilibonyesha shift +delete na kulifuta hilo file kabisa kwahiyo halikwenda kwenye Recycle bin.
Nilijaribu kutumia program ya Easeus data recovery wizard Pro ila nikarecover baadhi ya mafile lakini mengine yapo corrupted kabisa, kwamfano kilikuwa na baadhi ya nyimbo ila zingine zimeamua zijiunganishe liwe file moja na mengine yapo empty kabisa.
So wakuu mnisaidie niweze kuyarecover kwa 100% accuracy.
Mafaili yalikiwa na gb 7 tu