Naombeni jina la hii taarab/wimbo

Naombeni jina la hii taarab/wimbo

Joined
Sep 6, 2018
Posts
43
Reaction score
49
Hamjambo?

Kuna hii taarab/wimbo fulani ambapo kuna kipande kinaimba " Nampenda mmoja, nae anajua..... roho zenu mbaya "

au mwenye nao anaweza kuutuma hapa, au kunipa link

asanteni
 
Hamjambo?

Kuna hii taarab/wimbo fulani ambapo kuna kipande kinaimba " Nampenda mmoja, nae anajua..... roho zenu mbaya "

au mwenye nao anaweza kuutuma hapa, au kunipa link

asanteni
Male
Screenshot_2018-10-06-14-40-48.jpg
 
I am solid straight. hii kitu namtafutia gf wangu, aliniuliza jina la hii taarab, ila nikawa silijui kwa sababu sio msikilizaji wa hizi vitu, ila nikajiongeza tu nimfanyie suprise leo akija nimwekee.. najua atafurahi sana, na huenda nikapewa zawadi.
 
Endelea kumfurahisha, sio mbaya pia ukianza kuziimba pamoja na mpenzi wako huyo ili afurahie zaidi.
a real man must make her lady happy.. sidhani kama kuuliza jina la taarab kwa ajili ya kumtafutia mpenzi wangu hiyo nyimbo ni kosa.
 
Back
Top Bottom