Anataka akamdunde maana huishi kumtajataja.
kama ni hivo ataacha wengi dunia ya leolabda anamfaham na anafaham historia yake kwa hiyo anataka umpe uthibitisho achukue uamuzi,dunia imejaa vituko.
ahahahaaaa...anatafuta presha za bureAnataka ajifananize nae...kamzidi au kazidiwa viwango lol.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
mnatakiwa mjiamini lakiniAanataka kujipima ili aongeze mautundu kuliko wa zamani maana hamchelewi kusema " sikufeel kabisa kama nilivyokuwa na feel kwa x wangu"
"mwanaume kutaka kumjua niliyekuwa natoka nae kabla yake ni nini? sielewi mantiki yake, yeye sijamcheat lakini anataka kumfahamu wa kabla yake. simuelewi naomba kusaidiwa hili..."
Anataka akamdunde maana huishi kumtajataja.