Naombeni dawa ya bawasila

Mwenye kujua dawa ya ugonjwa huu naomba msaada wake

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu; unasema Bawasila au ulitaka kusema Bawasiri? Bawasiri jina lingine ni Haemorhoids ambapo vijinyama huota katika njia ya haja kubwa na vinamaumivu makali. Kama ni Bawasiri unaweza kwenda Hospitali kuwaona wataalam watakusaidia. Pole sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…