Habar za muda huu
Asalem aleykum,
Ndugu jama na marafiki nipo hapo Leo kuelezea changamoto yangu kwenu nipo hapa kuomba Kazi za udereva wa kumuendesha mtu, taasisi yoyote ile hata IT or HGV nafanya na Nina uzoefu nayo Niko tayari kufanya. Naomba msada wenu ukinisaidia namini umesaidia familia yangu pia na watu wanao nizungumka.
Naomba msaada wenu, namba zangu za simu 0689793571 /
iptieeabdie29@gmail.com Nitashukuru sana Kwa msada wenu.