Naomben ushauri

hapo hamna kuchelewesha kijana nikumfumua marinda tuu
 
kweli nimeamini!!" Upele umuota asiye na kucha.
 
Kusoma hujui,hata picha picha huoni? Kaa mbali na huyo mwanamke ni hatari kwa maisha yako.
 

samahani, hivi na kwenye mitihani utaandika kifupi hivi hivi? Pole sana jk generation
 
naona unaenda sana kwake kijana swal la msingi ni Kua mume yake yuko wap?? maana kwa maelezo yako naona kama mume wa huyo dada kama hayupo hapo!

but all in all watch out ur steps
 
Nakumbuka Mimi swala kama hilo nilipomaliza form SIX alikuja hivyo hivyo mke wa mtu eti ananipenda na kila anapo niona anaumia sana siku akaja kama saa tatu Usiku halafu Nipo peke yangu mama huyo kaja na kanga moja akanibana sana ila namshukuru Mungu nilitoka salama pale na mpaka kesho huyu MAMA hanisemeshi kabisa AAA. So Dogo fanya hivi usimwendekeze mwambie wazi tu au usiwe Karibu nae ataja haribu CV yako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…