FredKavishe
JF-Expert Member
- Dec 4, 2010
- 1,090
- 322
anaafanya kazi\/Mimi ni msichana wa miaka 28!nimekua na mahusiano na mkaka mwaka sasa na hapa nilipo ninaujauzito wake wa miez 9.tatizo ni kwamba jamaa alikua anasumbua sana swala la kuwaambia wazaz wake kuja kwe2 kujitambulisha,nikatumia nguvu atimae wakaja na mahari wametoa!sasa cha ajabu mchumba wangu huyu aniudumii kwa chochote,alisema atanunua pete anivalishe kimya mpaka sasa ukimwambia hakosi sababu mara hana pesa,na hela najua anayo japo c nying,namwambia basi ata cku 1 toa ata hela ya clinic japo elf 10 nayo tatizo!ananichosha sana yan yy anataka 2 mm ndio niwe nampa hela.naomben ushaur nimuache 2baki kuwa 2mezaa tu ila nisifunge nae ndoa?mana wazaz walisema kwetu kwamba harusi ni november mwaka huu.nachanganyikiwa sielew nifanyaje?
anaafanya kazi\/
if yes then iweje umpe ela yeye?
katika hali iyo ata sh kumi ya klinik atoi?ata ile ya kuzuga?
vp mwasiliano anapga kukujulia hali au mpk wew umuanze daily?
doo pole mshkaji bt wat i can c here is POTEZEA NDOA..UYO SI MUME BALI MZIGO apo mbelen utapata mzgo wa kumlea mtoto na babake cz anaonekana HANA SENSE OF RENSPONSIBILITIES...POLE SANA
zaa mtoto lakin neva usimgande kuhusu pete ....mungu kakuonyesha mapema ..uyo si mume ashakuonyesha kabssaaa na mawazo ya kumganda mtu muoane coz mmezaa achana nazo....ATAKUJA MWINGNE....
Dah i can fil the way u fill...kimimba juu miznguo kibao na kwa wazaz ushachafua ata jins ya ku un do inakuwa tyt bt tok to maza najua atajua juu ya kuwaweka sawa ndg wengne ili wasikuone kituko
pole mpnz.
wanaume makorokocho jaman aaghrrrrrrrrrrr yan mimba ujihudumie na ela umpe mweeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!
ningemmwagia upupu uyo kwnye makalio yake:love::love::love:!!!!!!!!!!!1
Mmmmh pagumu hapo. Inavyoonekana umependa sana na mwenzio amekugeuza ATM lakini mapenzi hakuna. Kitendo cha kumlazimisha kuja kwenu kijtambulisha ni kosa ulilofanya, na dalili zilionekana mapema pale alipokuwa hataki kuja kwenu. Ulitakiwa ushituke mapema na kujiuliza maswali mengi kwa nini hataki kujitambulisha kwenu. Ni kweli ndoa utafunga maana pengine ndiyo matarajio yako na ninavyohisi siyo matarajio ya huyo mwenzako. Kitakacho fuata hapo si ndoa bali ndoano. Kama unaweza usiharakishe kufunga ndoa na ikiwezekana waambie wazazi wako ukweli maana hayo ni maisha yako. Usisubiri baadaye upate shida ndiyo uanze kusema ooh hata uchumba alikuwa hivi. Ni ushauri tu na kila rakheli.
Tuliza mawazo ujifungue kwanza sister!
From experince:
Nimezaa na mchaga,(sijui kama wewe ni mchaga lakini) ila hawa watu wanapenda hela ni balaa,...
Hawa watu wanalazimisha ndoa ni balaaa...
Hawa watu wanalazimisha mambo ni balaaa....
Jamani msilazimishe ndoa,subiri kama ana mpango na wewe atakupa pete,sio kumkumbusha kila kitu jama!
Kwanini unataka sana pete na ndoa?
Au kuna tabia umeificha mda mrefu sasa umefikia mwisho wa kuificha na unataka ndoa haraka ili uioneshe?
He,me ukinikomalia kuhusu ndoa ndo ujue sikuoi ng'o au kama nikikuoa hadi nijue kwanini unataka ndoa kwa nguvu hivo!
Kama unahela kwanini una muomba hela sasa na umeona hana muelekeo wa kutoa hela au ndo kutafuta kumlaumu tu?

[/COLOR]
nayeye mwanaume anavyomuomba bnt ela je?
kwaiyo wew unaona jamaa anaafanya sawa?
kwenye kulazimisha pete sawa lakin izo mambo ibgne vp?mimba kamtia then kambwaga isnt fear?
dah yan wewe xperience yako ndo unatumia kumuhukumu dada wa wawatu ..asume km angekuwa dadako kabwagwa ivo ungetapika yote aya?
ebu kuwa na utu kdg
km alikuwa amtak asingemdanganya mpk pamimba labda ntakuoa pia zilikuwa nyng na mwshowe ndo ivo no ndoa no husuma zid ya kupigwa vrungu....
ahh sjui ukoje.
Tuliza mawazo ujifungue kwanza sister!
From experince:
Nimezaa na mchaga,(sijui kama wewe ni mchaga lakini) ila hawa watu wanapenda hela ni balaa,...
Hawa watu wanalazimisha ndoa ni balaaa...
Hawa watu wanalazimisha mambo ni balaaa....
Jamani msilazimishe ndoa,subiri kama ana mpango na wewe atakupa pete,sio kumkumbusha kila kitu jama!
Kwanini unataka sana pete na ndoa?
Au kuna tabia umeificha mda mrefu sasa umefikia mwisho wa kuificha na unataka ndoa haraka ili uioneshe?
He,me ukinikomalia kuhusu ndoa ndo ujue sikuoi ng'o au kama nikikuoa hadi nijue kwanini unataka ndoa kwa nguvu hivo!
Kama unahela kwanini una muomba hela sasa na umeona hana muelekeo wa kutoa hela au ndo kutafuta kumlaumu tu?
Hapo kwenye hela amesema mwenyewe kwamba jamaa hana hela,still ana muomba hela from nothing!
Yawezekana yeye ndo alimzoesha kumpa hela toka zamani na sasa jamaa ndo hivo tena yuko addicted akiwa na shida ana kimbilia kwa dadaa!
Kuhusu mimba labda ilikuwa ni bahati mbaya tu,zinatokea mara nyingi sana sio kila mimba zimepangwa
ni huyo mchaga wako ulimkuta na njaa zake! Co wachaga wte! Tena mwangalie sn hyo kulazmsha ndoa???? Kuna k2 anataka so anatangulza ndoa km silaha yake! 2take radh wachaga bana!
ni huyo mchaga wako ulimkuta na njaa zake! Co wachaga wte! Tena mwangalie sn hyo kulazmsha ndoa???? Kuna k2 anataka so anatangulza ndoa km silaha yake! 2take radh wachaga bana!
Okey,sorry for generalization ingawa huwa sipendi generalization nimejikuta nafanya hivyo leo,...
Ila ukweli unabaki pale pale wanaotaka ndoa kwa usongo sio watu wa kuoa kabisaaaa
Okey,sorry for generalization ingawa huwa sipendi generalization nimejikuta nafanya hivyo leo,...
Ila ukweli unabaki pale pale wanaotaka ndoa kwa usongo sio watu wa kuoa kabisaaaa
wewe dada kasema ela anayo lakin si nyng....na kwenye kuonyesha concern au kujua uyu ana akili za kiume na kujua majukukmu yake uwa atuangaliii katoa sh ngap iwe milion au elfu tano wat we luk is IS HE CONCERN?THATS OL.
jamaa km angetaka japo kutoa buku tano ya daladala dada angerizika lakin si kupiga kimya as he did
kuna masikin kabsa hana ata sh kumi lakin yale mapenz ya kumsindikza mkewe klinik,kumjulia hali ,kuongea ili na lile na mkewe na maneno mazur ktk kipnd iki mwanamke anafurahi sana
ni concern tu t doesnt mata sh ngap
kujitoa kwa hali au mali
sasa uyu jamaa hana hali wala hatak kutoa mali tumweleweje?
wewe unasoma i post ukiwa na yako kichwan ebu usiwe bias soma km ilivyo na utoe ukumu nzuri lakin hasira zako za manka kuizitumia kumjaj paulina wa wawatu wala haina tija kwa mungu wala kwa bnadamu.
mmhy uyu ni wa kumuhurumia anaonekana ana meng kichwani
tena meng sana ..i post ndo imemtumbua kipele so anatoa usaha wote
:love::love:
mwache atumie nyaraka moja kuhukumu kes zoooooooooooooote
dah bas pole
kuna kitu kinakusumbua dzain leo?au hasira tu....pole basi take t easy
pole bwana t seems imekukwaza sana cz unasafa machungu ya kulazimishwa ndoa....
tumekusamehe