Naomben ushauri kuhusu mdogo

mart66

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2018
Posts
610
Reaction score
691
Nina mdogo wangu wa kike bahati mbaya tuko wawili tu wazazi walishatangulia sasa huyu mdogo wangu kumbe alipata mimba na kwa kuniogopa alijaribu kuitoa hiyo mimba sasa kama week moja hivi imepita alikuwa analalamika maumivu ya tumbo, nikampeleka hospitali kupimwa bado anaonekana ni mjamzito shida ni kwamba bado analalmika maumivu ya tumbo na kichwa

Naombeni ushauri shida itakuwa n nini?
 
Tuma namba yako ya tigo pesa nikutumie
 
Kwani daktari alisemaje? Na kwanini umeiweka jukwaa la mapenzi?
 
Hapo hakuna mimba ongea na docta vizuri, alafu usizuge wewe ni kaka sema umesharikoroga sasa unahaha na shule zinakaribia kufunguliwa!
na weka wazi alijaribu kutoa kwa njia gani?
kuna kaukweli
 
Hapo hakuna mimba ongea na docta vizuri, alafu usizuge wewe ni kaka sema umesharikoroga sasa unahaha na shule zinakaribia kufunguliwa!
na weka wazi alijaribu kutoa kwa njia gani?
Sinaga tabia za kutembea ovyo na mademu na siwezi kua na mhusian na mwanafunzi
 
kuna kaukweli
Mwache atuzuge hapa, bila kujua hata sisi wahenga tumeshapita huko!
Mdogo wako wa kike ambaye amefikia hatua anaweza shika mimba huwo muda wa kwenda naye hospital unaupata wapi? Kwanza Dogo mwenyewe hawezi kubali huku akijua alichofanya!
 
sasa inamana dogo ajakuonyesha aliyempa mimba ili mshauriane, au kama si mwanafunzi wafungishe ya mkeka wakafurahie utamu!
Uyo jamaa nilijaribu kuongea nae na alikubali kuwa alikua anatoka na dogo ila swala la mimba sio yake,,pia dogo kuhusu kusom sina shida ata mwakani ataenda kusoma kashamaliza shule
 
Pole ila we ni mtoto wa kiume hamuwezi mkadiscuss nae dogo yote mkamaliza mtafute mtu mzima unaemwamini labda shangazi au hata yeyote unaehisi ni mtu mzima na mwenye hekima amwelezee akishindwa kujua na kutatua tatizo hatakosa la kushauri .
 
Mwache atuzuge hapa, bila kujua hata sisi wahenga tumeshapita huko!
Siwezi kuzuga mkuu, ukiwa mkubwa na kuna mtu nyuma yako anakutegemea utajitaidi kumsaidia kwa kila kitu,
 
Uyo jamaa nilijaribu kuongea nae na alikubali kuwa alikua anatoka na dogo ila swala la mimba sio yake,,pia dogo kuhusu kusom sina shida ata mwakani ataenda kusoma kashamaliza shule
sasa anayepaswa kusema mimba ni ya nani ni jamaa au Dogo?
Acha kutuchosha akili weka mambo hadharani upate msaada!
 
Uyo jamaa nilijaribu kuongea nae na alikubali kuwa alikua anatoka na dogo ila swala la mimba sio yake,,pia dogo kuhusu kusom sina shida ata mwakani ataenda kusoma kashamaliza shule
Huyo kashaijua mikuyenge hawezi soma tena trust me,atafute bwana tu azae alee si anapenda kuukali,aolewe awe na jukumu la maza house.
 
Pole ila we ni mtoto wa kiume hamuwezi mkadiscuss nae dogo yote mkamaliza mtafute mtu mzima unaemwamini labda shangazi au hata yeyote unaehisi ni mtu mzima na mwenye hekima amwelezee akishindwa kujua na kutatua tatizo hatakosa la kushauri .
Ntalifanyia Kaz japo ndugu zangu wengi wako mbali,nilimchukua dogo niishi nae kutokana na mazingira ya kijijini bahati mbaya ndo kaniletea baraaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…