Mke wangu hatak kushirik tendo la ndo nami hata siku ambazo hayupo period eti akidai kua mtoto ataharibika...kuna ukweli wowote kuhusu hili jaman????
Mke wangu hatak kushirik tendo la ndo nami hata siku ambazo hayupo period eti akidai kua mtoto ataharibika...kuna ukweli wowote kuhusu hili jaman????
Kwani mkeo kajifungua lini?
pole,ndugu kwa tatizo linalo kupata juu ya ndoa yako,1 sijui mtoto huyu mlio mpata ni wangapi,2 kama ni wa 1 basi mkewako anaitaji ushauri wa doctor wake wa clinik,yawezekana ni maneno ya kulishwa na mashoga zake,kwamba mkishiriki tendo la ndoa mtamwaribu,mtoto,sikweli,ila akijifungua anatakiwa akae siku 40 ili njia zake za uke wake,zirudi katika hali ya kawaida,baada ya siku 40,ruksa ninyi kupeana,sasa nawashauri mwone doctor wake wa clink kwa ushauri zaidi,mke wangu hatak kushirik tendo la ndo nami hata siku ambazo hayupo period eti akidai kua mtoto ataharibika...kuna ukweli wowote kuhusu hili jaman????
kama mtoto si wako lazima aharibike
jamani mie mbona mtoto wangu wa kwanza nilipomaliza arobaini tu na mzunguko wa blid ulipoanza wa kawaida nikaachia mambo na mtoto hajaharibika/kuchaha wala kuvuruguka.
Aaache kusikiliza hadithi za mabibi fanyeni mkimaliza mkaoge vizuri kabla hamjamshika mtoto.