Mkuu hilo jukwaa nila muda mrefu na mpk imezaa magroup ya whatsapp kuhusu magari, ingia kwny forums chagua forum ya education, tech & prof. Ndani ya hiyo forum ingia jukwaa ya JF Garage, ndani ya jukwaa hilo angalia jina la hiyo link niliyokupa

Nashukuru sanaa kaka nimeisoma vzr sanaa,ameshauri uchaguzi wa gar iwe at least kuanzia 5,mm list yangu ilikuwa ni
1 ist
2 vitz
3 Allex
4 Spacio
6.Runx
.lkn jana nimekutajia tatu,hizo mbili ck weka,